“Namkubali sana Fei Toto ni kiungo bora ambaye ni mpambanaji ukiachilia mbali kipaji alichonacho amekuwa akiwekeza zaidi ...
STRAIKA wa Mtibwa Sugar, ambaye anawaniwa kwa udi na uvumba na Kagera Sugar inayoshiriki Ligi Kuu, Razin Hafidh, ameendelea ...
Aidha kati ya waliofaulu, wasichana ni 699,901 sawa na asilimia 53, na wavulana ni 620,326 sawa na asilimia 47.
DAR ES SALAAM: THE government has urged Tanzania Standard (Newspapers) Limited (TSN) to take the lead in providing accurate information to the public in the lead-up to the 2025 General Election. The ...
WAFANYABIASHARA wanaonunua bidhaa nje ya nchi wamesema licha ya Dola ya Kimarekani kushuka thamani dhidi ya Shilingi ya ...
Makala hii imeangazia namna ambavyo nchi zetu zilivyoukaribisha mwaka wa 2025 kwa shamrashamra za kila aina huku wakisema ...
Kituo cha Utabiri wa Hali ya Hewa cha Nchi za Jumuiya ya IGAD, kinasema kuwa eneo la Afrika Mashariki litapata hali ya ukame kuliko kawaida kati mwezi wa Januari na Machi 2025. Katika utabiri wake ...
President Mwinyi responded to Othman's assertions, stating that despite critics' attempts to undermine his administration ...
Kampuni ya Ujenzi na Mawasiliano ya China (CCCC) tawi la Tanzania imesema itaendelea kuimarisha ushirikiano na vyombo vya ...
A total of 30 drivers in Dar es Salaam have had their licences suspended for six months after being found driving with ...
KHALID Aucho ni jina linalojulikana vizuri katika medani ya soka la Tanzania na ukanda huu wa Afrika Mashariki, haswa ...
“Makusanyo haya ni ukuaji wa asilimia 18.77 ukilinganisha na Sh trilioni 13.917 zilizokusanywa mwaka wa fedha 2023/2024 na ...