Shirika la afya duniani WHO, linasema mwenendo wa maambukizo ya virusi vya Mpox barani Afrika bado ni hatari, huku nchi za DRC, Burundi na Uganda zikiendelea kurekodi wagonjwa zaidi. Kulingana na ...
licha ya uamuzi wa Mahakama ya Afrika ya Haki za Kibinadamu. Moulaye Baba Haidara, Mahoumoud Mohamed Mangane na Amadou Togola wanashitakiwa hasa kwa "njama dhidi ya usalama wa taifa", "njama dhidi ...
Kimbunga Chido kililikumba eneo hilo la Ufaransa lililopo nje ya mwambao wa Afrika mashariki Jumamosi iliyopita. Serikali ya Ufaransa ilithibitisha vifo vya watu wasiopungua 31. Mamlaka za eneo ...
Mchezaji kutoka Nigeria Ademola Lookman ameshinda tuzo ya mchezaji bora wa mwaka barani Afrika 2024 kwenye tuzo za shirikisho la kandanda la Afrika (CAF) zilizofanyika usiku wa kuamkia leo ...
Poullada futi tatu kutoka mlango wa Ubalozi wa Marekani. Akawa Rais wa kwanza kuuawa baada ya mapinduzi barani Afrika. Maelezo ya picha, William Tolbert Jr, akihutubia Baraza Kuu la Umoja wa ...
Addis Ababa. Kinyang’anyiro cha uenyekiti wa Tume ya Umoja wa Afrika (AUC) kilifikia kilele Ijumaa wakati Waziri Mkuu wa zamani wa Kenya, Raila Odinga alipopanda jukwaani kwenye mdahalo kujadili maono ...
Dodoma. Mgombea wa nafasi ya Mwenyekiti wa Kamisheni ya Umoja wa Afrika, Raila Odinga amesisitiza umuhimu wa Afrika kuwa na kura ya veto na viti viwili vya kudumu katika Baraza la Usalama la Umoja wa ...
KWA muda mrefu Afrika imetoa baadhi ya nyota wa muda wote wa soka, ambao wengi wao wametamba na vipaji vyao barani Ulaya. Nyota kutoka Cameroon, Nigeria na Misri, wamevutia watazamaji kote ulimwenguni ...
2024 ameibuka mshindi wa tuzo ya mchezaji bora Afrika 2024 ya shirikisho la mpira wa miguu Afrika (Caf) katika hafla iliyofanyika Marrakech, Morocco. Lookman ambaye amekuwa na nyakati bora akiwa na ...
RAIS wa Shirikisho la Soka Afrika (CAF), Dk. Patrice Motsepe, amefanya ziara yake ya siku mbili katika mataifa yatakayokuwa wenyeji wa fainali za Kombe la Mataifa ya Afrika kwa wachezaji wa ndani ...
LIMPOPO – Phalaborwa is about to experience a touch of high-class sophistication with the grand opening of the Borwa Lifestyle Bar on Friday, December 13, at the Borwa Lifestyle Centre.
Tanzania imeweka rekodi ya Mkutano wa Pili wa Wahasibu Wakuu wa Serikali Barani Afrika kwa kuwa na washiriki zaidi ya 2000 kutoka ndani na nje ya Bara la Afrika ikiwa ni idadi kubwa kuwahi kufikiwa ...