Haya ni maono na maelekezo ya Rais Samia Suluhu Hassan aliyeona kiu ya haki ya watanzania," alisema. Dk. Ndumbaro alisema kampeni hiyo yenye maudhui ya kusaidia wananchi, ina mambo 10 na itapita kila ...
MKOA wa Shinyanga, umesherehekea kumbukumbu ya kuzaliwa Rais Dk. Samia Suluhu Hassan, kwa kupanda miti 500 katika shule ya msingi Mapinduzi, iliyoko Manispaa ya Shinyanga, mkoani hapa. Upandaji huo ...