Benki ya Akiba imezindua kampeni ya kidijitali ijulikanayo kama ‘Twende Kidijitali’ ili kutoa suluhisho la changamoto za ...
Wenyeviti wa Serikali za Mitaa katika Wilaya ya Ilala wametakiwa kujenga umoja na mshikamano kwa sababu wanategemewa na ...
Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati Dk.Dotto Biteko amewasihi wazawa wa Mkoa wa Kagera na walioko nje ya nchi na ndani ...
Rais Dk. Samia Suluhu Hassan anatarajiwa kuwa mgeni rasmi katika maadhimisho ya miaka 25 ya Chama cha Majaji Wanawake Tanzania (TAWJA), yatakayofanyika kwa siku tano kuanzia Januari 19 hadi 23, 2025, ...
Jumla ya wananchi 97 waliokubali kuhama kwa hiari kutoka ndani ya Eneo la Hifadhi ya Ngorongoro Kwenda Kijiji cha Msomera wilaya ya Handeni Tanga, wametoa wito kwa wananchi wenzao waliobaki ndani ya ...
Wanawake wanaonyonyesha mkoani Kagera wameshauriwa kula milo mitano kwa siku ili kupata maziwa yakutosha kwa mtoto. Kauli hiyo imetolewa jana na Ofisa Lishe wa hospitali ya Rufaa Bukoba wakati Mkuu wa ...
Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati, Dk. Dotto Biteko, akiwa katika picha ya pamoja na Wakuu wa Taasisi katika kongamano la majadilino ya biashara na uwekezaji kati ya serikali na sekta binafsi ...
Kampuni ya Asas imeonyesha dhamira yake ya kuendeleza sekta ya ufugaji na kuboresha maisha ya jamii kwa kutekeleza ahadi iliyotolewa wakati wa Sherehe za Kizimkazi Festival kwa kuandaa ziara ya ...
Serikali imesema kasi ya vifo vitokanavyo na magonjwa yasiyoambukiza inazidi kuongezeka hali inayosababisha Watanzania wengi kushindwa kufikia umri wa miaka 66 ambao ni wastani wa kuishi. Takwimu ...
Tanzania na Umoja wa Ulaya zimekubaliana kuongeza upatikanaji wa masoko ya umoja huo kwa bidhaa za Tanzania na kuvutia uwekezaji zaidi katika sekta za kimkakati kama vile nishati jadidifu, viwanda na ...
Mwenyekiti wa UWT Mkoa wa Njombe, Scholastica Kevela ametunukiwa Shahada ya Uzamivu katika masuala ya fedha (PhD in Finance) na Chuo Kikuu Huria cha Tanzania (OUT). Kevela ambaye pia ni Mkurugenzi wa ...