Licha ya kufunga ndoa ya dini miaka 10 iliyopita, Jane Elias alijikuta katika sintofahamu baada ya kuambiwa ndoa yake ...
Moto ambao chanzo chake hakijajulikana umeteketeza vyumba vitatu vya wapangaji katika Mtaa wa Wailesi, Kata ya Soweto, ...
Mwenyekiti wa ACT Wazalendo, Othman Masoud Othman ametangaza nia ya kugombea urais wa Zanzibar kwenye uchaguzi mkuu ujao ...
Tunasonga mbele, ndiyo ujumbe unaobeba nasaha za jumla za viongozi wa kiroho katika ibada za mkesha wa mwaka mpya 2025 na ...
Siku chache baada ya kusambaa mitandaoni mahojiano ya mmoja wa wanawake akizungumzia uwepo wa mikopo aina ya kobe na nyoka, ...
Ofisa Muuguzi Mkunga wa Hospitali ya Rufaa ya Mkoa wa Morogoro, Suzan Mdegela, ametoa wito kwa wanawake waliojifungua kufuata ...
Makamu Mwenyekiti wa Chadem-Bara, Tundu Lissu amependekeza viongozi wa dini na mabalozi wa nchi marafiki, waalikwe kuwa sehemu ya watazamaji wa uchaguzi wa ndani wa chama hicho.
Ni kazi gani hauko tayari kuifanya ukiwa na elimu kuanzia ngazi ya shahada? Majibu ya swali hilo yanaakisi mitazamo ya vijana ...
Zikiwa zimesalia siku 11 shule kufunguliwa, zaidi ya watoto 90 wa Kitongoji cha Mbuyuni hawataanza darasa la kwanza kutokana ...
Baada ya kuanza katika Mikoa mbalimbali ikiwemo Kigoma, hatimaye uboreshaji wa daftari la kudumu la mpigakura umefika ...
Siku 14 zimepita tangu ilipotokea ajali ya gari aina ya Coaster iliyogongana na lori, huku mwili mmoja kati ya 15 ya ...
Mawakala na viongozi wa vyama vya siasa wametakiwa kuzingatia sheria kwa kutoingilia mchakato wa uboreshaji wa daftari la ...