“Namkubali sana Fei Toto ni kiungo bora ambaye ni mpambanaji ukiachilia mbali kipaji alichonacho amekuwa akiwekeza zaidi ...
Aidha kati ya waliofaulu, wasichana ni 699,901 sawa na asilimia 53, na wavulana ni 620,326 sawa na asilimia 47.
WAFANYABIASHARA wanaonunua bidhaa nje ya nchi wamesema licha ya Dola ya Kimarekani kushuka thamani dhidi ya Shilingi ya ...
JANA gazeti hili lilikuwa na uchambuzi unaohusu hatua na nyendo za Serikali ya Awamu ya Sita kimaendeleo, ikiangaziwa ...
Biashara ya kuvuka mipaka imeendelea kuimarika wakati ambao Tanzania imeendelea kuuza zaidi kuliko inavyonunua bidhaa za nje, ...
Kampuni ya Ujenzi na Mawasiliano ya China (CCCC) tawi la Tanzania imesema itaendelea kuimarisha ushirikiano na vyombo vya ...
UKIHISI usajili uliofanywa na KenGold kumnasa winga wa zamani wa Yanga na Simba, Bernard Morrison kuwa ni jambo la kushangaza ...
Wito umeendelea kutolewa kwa serikali ya Tanzania kutoa ufafanuzi kamili kuhusu hatma ya mwandishi habari Azory Gwanda baada ya waziri ya mambo ya nje nchini, Profesa Palamagamba Kabudi ...
Mwandishi wa habari za uchunguzi, Erick Kabendera anayeandikia magazeti ya ndani na nje ya Tanzania anadaiwa kukamatwa na watu waliojitambulisha kuwa ni polisi. Inadaiwa kuwa Erick Kabendera ...
TIMU ya taifa ya Zanzibar ‘Zanzibar Heroes’ itafungua pazia la michuano ya Kombe la Mapinduzi kwa kuikabili Burundi Januari 3 ...