Wilbroad Slaa (76), leo Januari 17, 2025 amefikishwa kwenye Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu, Dar es Salaam kusikikiza kesi ya kusambaza taarifa za uongo inayomkabili. Dk.Slaa alifikishwa mahakamani ...
Kesi hizo zilizofunguliwa katika mahakama za wilaya mbalimbali za Tanzania Bara, zimeanza katika hatua ya awali ya kutolewa wito wa mahakama kuwaita wahusika (wajibu mashauri) kwa ajili ya kutajwa na ...