Mafuriko hayo, yaliyotokea mwishoni mwa mwaka jana, yalisababisha vifo na kuathiri makazi ya watu wengi. Katibu Mkuu wa chama hicho, Lucia Pande, alitoa taarifa hiyo leo jijini Dar es Salaam wakati ...
Mamlaka za eneo la Noto katikati mwa Japani zinasema kazi ya kuondoa matope inakaribia kukamilika, miezi mitatu baada ya mvua kubwa zilizoweka rekodi kuharibu maeneo makubwa. Mvua za Septemba 21 ...
Jiji hilo lilikumbwa na mfululizo wa mafuriko kufuatia mvua kubwa iliyonyesha mwezi Septemba mwaka huu.
Imeorodheshwa miongoni mwa nchi zilizo hatarini zaidi kwa majanga ya asili kama vile matetemeko ya ardhi, dhoruba, mafuriko na tsunami, kulingana na Ripoti ya Kila mwaka ya Hatari ya Dunia.
Ofisi hiyo imesema mafuriko tayari yamesababisha uharibifu wa makazi ya muda katika Ukanda wa Gaza, lakini timu za kibinadamu zimeweza tu kutoa msaada kwa watu 285,000 kwa kufanya ukarabati kati ya ...
Tahadhari ya chungwa tayari ilikuwa imeanzishwa kuanzia Ijumaa katika idara hiyo huku mvua kubwa, mafuriko na hatari ya vitu kuzamishwa baharini ikitarajiwa usiku wa kuanzia Ijumaa hadi Jumamosi.
Dar es Salaam. Mwaka 2024 ulipoanza usafiri wa reli ya kati ... hasa wakati wa msimu wa mvua. Mafuriko mara kadha yamesababisha uharibifu wa tuta la reli, hivyo kuvuruga shughuli za usafiri jambo ...
ISLAMABAD: Pakis­tan and Afghanistan continued their renewed engagement on Monday, with Af­­g­­­han Chargé d’affaires Sar­­dar Ahmad Shakeeb me­­eting Deputy Prime Mi­­nister and ...
Case specific: https://secure.cic.gc.ca/enquiries-renseignements/case-cas-eng.aspx?mission=dar es salaam Need help? Find answers to your questions in the Help Centre.
Rukwa. Watu watano wamefariki dunia kutokana na mvua zinazoendelea kunyesha mkoani Rukwa. Kamanda wa Polisi mkoani Rukwa, Sherdack Masija, ameyasema hayo Jumamosi Novemba 7,2024 wakati akizungumzia ...
Prime Minister Shehbaz Sharif has constituted a committee, headed by Deputy PM Ishaq Dar, to resolve the issue of 15% additional income tax on banks and has also censured the National Bank of ...