Benki ya Akiba imezindua kampeni ya kidijitali ijulikanayo kama ‘Twende Kidijitali’ ili kutoa suluhisho la changamoto za ...
Wenyeviti wa Serikali za Mitaa katika Wilaya ya Ilala wametakiwa kujenga umoja na mshikamano kwa sababu wanategemewa na ...
Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati Dk.Dotto Biteko amewasihi wazawa wa Mkoa wa Kagera na walioko nje ya nchi na ndani ...
Kampuni ya Ufugaji Samaki ya Tanlapia inatarajia kuongeza uzalishaji kutoka tani 35 kwa mwezi hadi kufikia tani 100 ifikapo Juni 2025. Kampuni hiyo imewekeza katika ufugaji samaki eneo la Kingami ...
Rais Dk. Samia Suluhu Hassan anatarajiwa kuwa mgeni rasmi katika maadhimisho ya miaka 25 ya Chama cha Majaji Wanawake Tanzania (TAWJA), yatakayofanyika kwa siku tano kuanzia Januari 19 hadi 23, 2025, ...
Tanzania na Umoja wa Ulaya zimekubaliana kuongeza upatikanaji wa masoko ya umoja huo kwa bidhaa za Tanzania na kuvutia uwekezaji zaidi katika sekta za kimkakati kama vile nishati jadidifu, viwanda na ...
Netumbo Nandi-Ndaitwah, kutoka Chama tawala cha South West Africa People’s Organisation (Swapo), amepigiwa kura kuwa rais wa kwanza mwanamke wa Namibia baada ya uchaguzi wa wiki iliyopita. Tume ya ...
Jumla ya wananchi 97 waliokubali kuhama kwa hiari kutoka ndani ya Eneo la Hifadhi ya Ngorongoro Kwenda Kijiji cha Msomera wilaya ya Handeni Tanga, wametoa wito kwa wananchi wenzao waliobaki ndani ya ...
Naibu Waziri Ofisi ya Makamu wa Rais (Muungano na Mazingira), Khamis Hamza Khamis akiwasilisha taarifa kwenye Mkutano wa 16 wa Mkataba wa kukabiliana na kuenea kwa Jangwa (COP16) unaofanyika Riyadh ...
WAZAZI na Walezi wa wanafunzi wanaosoma Shule ya Msingi Mapinduzi, Kata ya Mugumu wilayani Serengeti mkoani Mara,wametakiwa kuwalinda watoto wao na kuacha kuwapa kazi ya kufanya biashara wakati wenzao ...
Makamu wa Rais, Dk. Philip Mpango, ametoa wito kwa Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora, halmashauri na Wizara ya Ardhi kushirikiana kuhakikisha nyumba za watumishi wa umma ...
Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati, Dk. Dotto Biteko, akiwa katika picha ya pamoja na Wakuu wa Taasisi katika kongamano la majadilino ya biashara na uwekezaji kati ya serikali na sekta binafsi ...