Baraza la Ushauri la Watumiaji wa Huduma za Usafiri Ardhini (LATRA CCC) limewataka watoa huduma kuzingatia matakwa ya leseni zao kwa kuhakikisha huduma zinazotolewa zinalingana na madaraja ...
Rais Dk. Samia Suluhu Hassan anatarajiwa kuwa mgeni rasmi katika maadhimisho ya miaka 25 ya Chama cha Majaji Wanawake Tanzania (TAWJA), yatakayofanyika kwa siku tano kuanzia Januari 19 hadi 23, 2025, ...
Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati Dk.Dotto Biteko amewasihi wazawa wa Mkoa wa Kagera na walioko nje ya nchi na ndani ...
Wenyeviti wa Serikali za Mitaa katika Wilaya ya Ilala wametakiwa kujenga umoja na mshikamano kwa sababu wanategemewa na ...
Jumla ya wananchi 97 waliokubali kuhama kwa hiari kutoka ndani ya Eneo la Hifadhi ya Ngorongoro Kwenda Kijiji cha Msomera wilaya ya Handeni Tanga, wametoa wito kwa wananchi wenzao waliobaki ndani ya ...
Viongozi wa Mkoa wa Kagera kwa kushirikiana na viongozi wa dini umefanya maombi maalum ya kuliombea Taifa ili liendelee kuwa na amani, mshikamano, utulivu pamoja na maendeleo. Maombezi hayo ...
Benki ya Akiba imezindua kampeni ya kidijitali ijulikanayo kama ‘Twende Kidijitali’ ili kutoa suluhisho la changamoto za ...