Kampuni ya Ujenzi na Mawasiliano ya China (CCCC) tawi la Tanzania imesema itaendelea kuimarisha ushirikiano na vyombo vya ...
Baraza la Ushauri la Watumiaji wa Huduma za Usafiri Ardhini (LATRA CCC) limewataka watoa huduma kuzingatia matakwa ya leseni zao kwa kuhakikisha huduma zinazotolewa zinalingana na madaraja ...
Viongozi wa Mkoa wa Kagera kwa kushirikiana na viongozi wa dini umefanya maombi maalum ya kuliombea Taifa ili liendelee kuwa na amani, mshikamano, utulivu pamoja na maendeleo. Maombezi hayo ...
Wenyeviti wa Serikali za Mitaa katika Wilaya ya Ilala wametakiwa kujenga umoja na mshikamano kwa sababu wanategemewa na wananchi kwa kuwa ndio kimbilio. Wito huo umetolewa Desemba 18,2024 na Mkuu wa ...
Jumla ya wananchi 97 waliokubali kuhama kwa hiari kutoka ndani ya Eneo la Hifadhi ya Ngorongoro Kwenda Kijiji cha Msomera wilaya ya Handeni Tanga, wametoa wito kwa wananchi wenzao waliobaki ndani ya ...
Benki ya Akiba imezindua kampeni ya kidijitali ijulikanayo kama ‘Twende Kidijitali’ ili kutoa suluhisho la changamoto za kifedha. Kampeni hiyo iliyozinduliwa leo Desemba 18,2024 inalenga kuboresha ...
Wanawake wanaonyonyesha mkoani Kagera wameshauriwa kula milo mitano kwa siku ili kupata maziwa yakutosha kwa mtoto. Kauli hiyo imetolewa jana na Ofisa Lishe wa hospitali ya Rufaa Bukoba wakati Mkuu wa ...
Kampuni ya Simu ya Airtel Tanzania inatarajia kuwazawadia wateja na mawakala wake katika msimu huu wa sikukuu. Zawadi hizo zitatolewa kupitia promosheni maalumu iliyozinduliwa leo Desemba 17,2024 ...
Baada ya kimya cha muda mrefu, mwongozaji na mwigizaji gwiji wa filamu kutoka Houston Texas Marekani, Alenga Elize maarufu Alenga The Great, amefyatua sinema yake mpya ya Kiswahili inayoitwa ‘Lost ...
Kampuni ya Ufugaji Samaki ya Tanlapia inatarajia kuongeza uzalishaji kutoka tani 35 kwa mwezi hadi kufikia tani 100 ifikapo Juni 2025. Kampuni hiyo imewekeza katika ufugaji samaki eneo la Kingami ...