NAAM Ligi Kuu England imesimama hadi Machi Mosi, 2025. Hii ni kwa sababu ya kupisha Kombe la Mapinduzi, kambi ya timu ya taifa kujiandaa na Chan na mwisho Chan yenyewe.
LIVERPOOL imepanga kumsajili winga wa Bayern Munich na Ujerumani, Leroy Sane, 28, katika dirisha lijalo kama mbadala wa ...
Kocha wa Simba, Fadlu Davids amefanikiwa kuruka kihunzi cha kwanza kati ya viwili ambavyo viliwashinda makocha wenzake katika ...
Ligi Kuu ya NBC imesimama kwa muda wa miezi miwili ili kupisha michuano ya Kombe la Mapinduzi inayofanyika kisiwani Pemba na pia kupisha Fainali za Mataifa ya Afrika kwa Wachezaji wa ligi ...
FRANK Shagembe siyo jina kubwa ukitaja majina makubwa katika mchezo wa ngumi za kulipwa nchini lakini kwa sasa heshima yake ...
Ushindi ndio lengo la kila timu leo wakati Zanzibar Heroes itakapocheza na Burkina Faso katika Uwanja wa Gombani, Pemba ikiwa ...
BAO pekee lililofungwa na kiungo mshambuliaji, Jean Charles Ahoua limeipa Simba ushindi wa kwanza ugenini msimu huu katika mechi za Kombe la Shirikisho Afrika baada ya kuichapa CS Sfaxien ...
SIMBA jana usiku ilifanya makubwa huko Tunisia ikiipasua CS Sfaxien kwa bao 1-0 la kiungo Jean Charles Ahoua, huku kocha mkuu ...
Simba ilipata ushindi huo kwenye Uwanja wa Olympique Hammadi Agrebi, jijini Tunis na kuifanya ifikishe pointi tisa kutokana ...
Ramovic pia alisema juzi, Yanga ilistahili kushinda kwa idadi kubwa ya mabao zaidi, kwani ilitengeneza nafasi nyingi hasa ...
KAMA ulidhani kuna bifu lolote linaloendelea baina ya Faustina Mfinanga ‘Nandy’ na Zuhura Othman ‘Zuchu’ basi jua hakuna kitu kama hicho, kwani wawili hao wanapiga umbea kama kawaida.
NYOTA wa filamu nchini, Aunt Ezekiel, amewashauri waigizaji wenzake kama wapo kwenye uhusiano wa kimapenzi basi wawe wazi na ...